P SQURE WANA MIAKA NANE HAWAJAENDA KANISANI FAHAMU SABABU
Peter na Paulo Okoye mara ya mwisho kwenda kanisani mwaka 2007,Sababu yakuacha kwenda kanisani huwa watu wanawashangaa wao nakuacha kusali.Wamesema ili kuwaacha watu waongee na mungu wao ikawabidi waache kwenda kanisani.