JIJI LETU

Thursday, July 9, 2015

BREAKING NEWZZ!!:- MBUNGE WA CCM AFARIKI DUNIA!!


Tunapenda kuwajulisha kifo cha ghafla cha aliekuwa mbunge wa Shinyanga Mjini CCM 1995-2005, Mzee Leonard Newe DEREFA, kilichotokea mapema leo asubuhi 09.07.2015 Nyumbani kwake Shinyanga Ngokolo, mjini.
Tunapenda kutoa pole za dhati kwa Familia na chama chake cha CCM.Taarifa zaidi Tutawajuza hapa. BWANA alitoa na BWANA ametwa, Jina lake libarikiwe. RIP Mwana Derefa.
Mazishi yanategemewa kuwa siku ya Jumapili tarehe 12.07.2015 Shinyanga Mjini.
at 11:52:00 PM
Newer Post Older Post Home

categories

AFYA AJALI AJIRA BIG BROTHER BONGO MOVIE Bongofleva Bongomovie BUNGENI ELIMU FASHION FIESTA FUMANIZI Habari Za Mitaani HIP HOP Instagram KIMATAIFA KITAIFA MAAJABU Madawa ya kulevya MAGAZETI MAPENZI MBELE MICHEZO RECORD SIASA TECHNOLOGY UDAKU UKATILI UTAFITI VITUKO WASANII WhatsApp Videos

Popular Posts

  • KAKOBE ALIWAHI KUWA MWANAMUZIKI
  • YASEMEKANA ETI HAWA NDO WASANII WANAOPENDWA SANA NA MADEMU TANZANIA
  • LOWASSA AAHIDI UTENDAJI SPIDI 120
  • WANAFUNZI WATATU WAGONGWA NA TRENI NA KUFA HAPO HAPO BAADA YA KUNOGEWA NA SELFIE!
  • MTOTO WA KIGOGO AAPA KUHAMA NCHI LOWASSA AKISHINDA URAIS..YAANI NI SHEEDAH..NI HUYU HAPA
  • Majibu ya Wema Sepetu Kwa Waliosema Siasa Imeingiliwa Baada ya Yeye Kutangaza Nia, Pia Aliyeigiza Sauti Yake
  • MHE. WASIRA AAMUA KUMWONA SHERIA NGOWI ILI AMTENGENEZEE SUTI ZAKE
  • LINAH Ajiweka kimaaba kwa kaka yake ZARI
  • Mvua Kubwa Yasababisha Foleni Dar
  • Mistari Ya Afande Sele Akimchana Vibaya Aliyeondoka, Akimsifia Magu.
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.