Friday, July 10, 2015

Miji ya watu inavyobadilika… hizi picha ni za Shanghai moja ya 1990 nyingine ya 2010.

BNNWGT China Shanghai town city blocks of flats high-rise buildings city skyline Huangpu river flow Pudong evening travel traveling
.
Ni miji mbalimbali na historia zake ambapo leo nakusogezea huu wa Shanghai ambao upo China, ni mji ambao unashikilia rekodi ya Mji wenye watu wengi zaidi China na mpaka mwaka 2013 ulikua una watu zaidi ya milioni 24 ambayo ni kama nusu ya Tanzania.
Wakati Dar es salaam ikisubiria mradi wa mabasi ya abiria yaendayo haraka, hii picha hapa chini inaonyesha mji wa Shanghai kutoka kwenye picha iliyopigwa mwaka 1990ambapo hii ya juu ni ya mwaka 2010.
Shanghai 2
Shanghai
shanghai 4