Friday, August 21, 2015

Good news:Diamond aingia studio kurekodi na staa wa Marekani

.
.
Tanzania inaendelea kujichukulia headline baada headlines tuliona Coke Studio Africa iliwakutanisha Ali Kiba na staa wa Marekani Ne-YO Nairobi kwenye kuandaa single mpya.
Sasa good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba Diamond Platnumz  dakika chache zilizopita kupitia ukurasa wake wa instagram amepost picha akiwa Neyo studio na kuandika…’Thanks alot my Brother @neyo and the Whole Compound Crew had a great Session, and it was realy nice working with you…can’t wait for the World to hear this Hit Song!! Diamond Platnumz  ft Neyo‘ @diamondplatnumz
Kama wewe ni shabiki wa Diamond Platnumz basi kaa tayari kwa ujio huo mpya wa single yake aliyomshirikisha staa wa Marekani Ne-YO.