Tuesday, February 2, 2016

ALI KIBA: SIO KWELI KUWA DIAMOND PLATNUMZ NDIE ANAEPITISHA VIDEO ZA BONGO KWENYE KITUO CHA MTV

Katika kipindi cha XXL katika kipengele cha 255 Ali kiba amesema “Nitawaambia ukweli ambao unawahusu, kama ni kweli watakuwa wanakosea (MTV), haikai sawa na sidhani kama ni kweli….Yaani haikai sawa na sidhani kama ni kweli,kwasababu watakuwa hawako fair, ndio hivyo hawako fair, hajabeba talent ya kila mtu (Diamond), kila mtu ana kipaji chake na kila mtu ana haki ya kuonesha kipaji chake kazi yake. Unajua kila mtu anafanya biashara ya muziki saizi, sio mtu anafanya masihara unapoona mtu anafanya video yake anagharamikia unajua haipendezi, kwahiyo sidhani kama ni kweli…….“.