Mrembo aliyewahi kutinga Top ten Miss Tabata 2012 Angel Kisoga ambaye hivi sasa ana-hit kwenye video ya Lady Jaydee ‘Joto Hasira’ na kichupa cha Bagdad ‘Nishida’ ameweka wazi mipango yake ya kufanya fashion katika kampuni yoyote inayohusika na u model
Akizungumza na Mpekuzi wetu juzi kati, Angel alisema anapenda sana fashion na anatamani siku moja apate shavu la kufanya kazi hii na ma designer maarufu hapa nchini.
“Napenda sana fashion na kwa sasa nipo tayari kufanya kazi na designer yeyote maarufu kama Martin Kadinda, Mustapha Hassanali ....Alisema membo huyo
Akizungumzia kuhusu unene wa umbo lake, Angel alisema kuwa umbo si kigezo cha kumfanya mtu asiwe model...
"Watu watashangaa na kujiuliza juu ya umbo langu, labda niwaambie umbo siyo sababu ya mimi kushindwa kufanya kitu nikipendacho .Kwanza umbo langu linaeleweka halija jaa jaa ovyo, lipo kwa mpangilio ...
"Mimi naamini nitaweza coz mimi si wa kwanza .Mbona Hamisa Mobeto ana shape lakini yupo katika mambo hayo na anavutia sana tu tofauti na wale ambao ni wembamba? mI naamini naweza.”Alihitimisha mrembo huyo.